Mkuu wa chuo cha habari na utalii Eckros Njombe anawatangazia nafasi za mafunzo ya kompyuta kwa program zifuatazo:-
1. Introduction to computer
2. File management
3. Email and Internet
4. Application software
· Microsoft Word
· Microsoft Excel
· Microsoft PowerPoint
· Microsoft Publisher
· Microsoft Access
Chuo kinapatikana ndani ya uwanja wa sabasaba kwenye majengo ya uvikanjo Njombe.
Kumbuka kuwa mafunzo haya yanatolewa kwa gharama nafuu sana na kila atakaye soma hapa chuoni anafundishwa huduma kwa mteja bure kwa maelezo zaidi tupigie simu namba zifuatazo.
0762795251